Kikosi chetu leo saa 12:30 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Kocha Mkuu Fadlu Davids hajafanya mabadiliko yoyote ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi ya mwisho dhidi ya Tanzania Prisons.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazack Hamza (14), Che Fondoh Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Ladaki Chasambi (36), Fabrice Ngoma (6), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Augustine Okejepha (25), Debora Fernandes (17), Denis Kibu (38), Awesu Awesu (23), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27). Okechi Nyembe (59).