Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya Prisons
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa mgumu kutokana na timu kukosa muda mzuri wa kufanya maandalizi. Kocha
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa mgumu kutokana na timu kukosa muda mzuri wa kufanya maandalizi. Kocha
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga uliopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupoteza kwa
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Utakuwa mchezo mgumu
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Ni mchezo muhimu
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Derby dhidi ya Yanga ni muhimu kushinda lakini hatutacheza kwa presha badala yake tutafuta mipango
Klabu yetu imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya kuzalisha bidhaa za ujenzi ya Knauf kutoka nchini Ujerumani. Knauf wanazalisha bidhaa zenye hadhi
Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Fountain Gate Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) uliopigwa Uwanja
Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Fountain Gate Princess katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally ametangaza viingilio vya mchezo wetu wa Ligi unaofuata dhidi ya Yanga utakaopigwa Oktoba 19 katika Uwanja