read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain

Tutakutana na Al Ahly Tripoli Kombe la Shirikisho Afrika
Kati ya Septemba 13 hadi 15 tutacheza mchezo wetu wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya kwanza dhidi ya Al Ahly Tripoli kutoka

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya Fountain Gate
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC yamekamilika na wachezaji wapo kwenye

Simba Queens, PVP Buyenzi hakuna mbabe
Mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) dhidi ya Buyenzi kutoka Burundi uliopigwa

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili PVP Buyenzi
Leo saa sita na nusu mchana kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila kuikabili PVP Buyenzi kutoka Burundi katika mchezo wa mwisho wa kundi

VIDEO: Timu yaendelea na Mazoezi Mo Arena
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa
