read
news & Articles
VIDEO: Ahmed aelezea ajali aliyopata Che Malone usiku wa kuamkia leo
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema mlinzi wa kati, Che Fondoh Malone hajaumia popote kwenye ajali aliyopata usiku wa kuamkia leo eneo
Robertinho: Tumeitumia Coastal kujiandaa na Power Dynamos
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema tumeutumia mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union kujiandaa na mechi ya marudiano ya
Highlights: Tazama mabao yote ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal
Tumefanikiwa kupata kushindi mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Tazama hapa
Baleke apiga hat trick tukiichapa Coastal Uhuru
Mshambuliaji, Jean Baleke amefunga hat trick katika ushindi wa 3-0 tuliopata dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal
Muda mfupi ujao kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’
Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Coastal Union
Leo saa 10 jioni kikosi kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu ya NBC. Weka