read
news & Articles

Tumetolewa Nusu Fainali CECAFA
Kikosi chetu kimeshindwa kutinga fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kupoteza kwa mabao 3-2 dhidi

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Police Bullets
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa tano asubuhi kuikabili Police Bullets kutoka Kenya katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa

Tumepata Pointi tatu muhimu za Fountain Gate
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex. Edwin

Kikosi chetu kitakachotuwakilisha dhidi ya Fountain Gate
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Fountain Gate kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu Fadlu

Queens yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Polisi Bullets
Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Brimo Meda kujiandaa na mchezo wa kesho wa Nusu Fainali dhidi ya Polisi Bullets kutoka Kenya.

Tupo Tayari kuikabili Fountain Gate Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Fountain Gate FC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika
