Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ulikuwa mgumu lakini amewapongeza wachezaji kwa kujituma muda wote.
Kocha Fadlu amesema tulikuwa na uwezo wa kupata ushindi mnono wa zaidi ya mabao manne mpaka matano lakini hatukuweza kuzitumia vizuri nafasi tulizopata.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu mabadiliko ya wachezaji aliyofanya.