Kikosi kilichopangwa kuikabili Dodoma Jiji

Leo saa 12:30 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jumhuri kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kile kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Azam FC.

Kocha Fadlu amewaanzisha Kelvin Kijili na Steven Mukwala kuchukua nafasi za Shomari Kapombe na Joshua Mutale.

Hiki hapa kilichopangwa:

Moussa Camara (26), Kelvin Kijili (33), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), ⁠Abdulrazak Hamza (14), Fabrice Ngoma (6), ⁠Jean Ahoua (10), Debora Fernandes (17), ⁠Leonel Ateba (13), Steven Mukwala (11), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba:

Aishi Manula (28), ⁠Shomari Kapombe (12), Karaboue Chamou (2), Augustine Okejepha (25), ⁠Awesu Awesu (23), Edwin Balua (37), Valentino Mashaka (27), ⁠Hashim Msangi, Omary Omary, Valentine Nouma (29).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER