read
news & Articles
Timu yafanya mazoezi ya mwisho Kigoma
Nyota wote 26 tuliosafiri nao kuja Kigoma kwa ajili ya mchezo wa kesho wa hatua ya 16 bora ya CRDB Bank Federation Cup dhidi ya
Alichosema Benchikha baada ya kutua Dar
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema tulipopoteza mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Ahly tuliongeza ugumu mechi ya marudiano na ndio maana tumetolewa. Benchikha amesema
Ahmed: Hatujilaumu, bali tumejifunza
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema hatujilaumu kwa kutolewa na Al Ahly katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Timu kuwasili nyumbani Alfajiri
Kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea jijini Dar es Salaam kutoka Misri na kinatarajia kuwasili saa 10 Alfajiri. Baada ya kufika kikosi kitaingia kambini moja
Tumetolewa Ligi ya Mabingwa Afrika
Mchezo wetu wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly uliopigwa Uwanja wa Cairo International umemaliza kwa kupoteza kwa
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahly
Kikosi chetu leo saa tano usiku kitashuka katika Uwanja wa Cairo International kuikabili Al Ahly kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya