Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Kikosi chetu leo kitaongozwa na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha baada ya kurejea kutoka Algeria alipokwenda kushiriki kozi ya ukocha.
Hiki hapa Kikosi kilichopangwa:
Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Babacar Sarr (33), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Freddy Michael (18), Said Ntibazonkiza (10), Clatous Chama (17).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Abdallah Hamis (13), Mzamiru Yassin (19), Luis Miquissone (11), Willy Onana (7), Pa Omar Jobe (2).