read

news & Articles

Preview: Mchezo wetu dhidi ya Horoya

Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Horoya kutoka Guinea katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika

Manula Mchezaji bora wa Mwaka BMT

Mlinda mlango, Aishi Manula amechaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika hafla ya tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT). Manula amewapiku walinzi Mohamed Hussein

Sakho aitwa timu ya Taifa ya Senegal

Kiungo mshambuliaji, Pape Sakho amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa ya Senegal ‘Simba wa Terenga’ kitachocheza mechi mbili za kufuzu michuano

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC