read
news & Articles
Tunacheza Fainali yetu Cairo International Leo
Kikosi chetu leo saa tano usiku kitashuka katika Uwanja wa Cairo International kuikabili Al Ahly katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo
Quiz: Taja mchezaji aliyecheza mechi nyingi dhidi ya Al Ahly
Kesho saa tano usiku tutacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Uwanja wa Cairo International nchini Misri.
Alichosema Benchikha kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly
Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amesema tutaingia katika mchezo wa kesho wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly kwa
Timu yafanya mazoezi Uwanja wa Cairo International
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Cairo International usiku huu uwanja ambao tutautumia katika mchezo wetu wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya
Timu yapaa yaifuata Al Ahly Misri
Kikosi chetu kimeondoka alfajiri kuelekea Cairo, Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Ijumaa saa
Hiki hapa kikosi kitakachosafiri kuelekea Misri
Kikosi chetu kitaondoka alfajiri kuelekea nchini Misri tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Ijumaa