Kikosi chetu cha Simba Queens leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili JKT Queens katika mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii.
Kikosi kamili kilivyopangwa:
Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (11), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholaus (26), Danai bhobho (40), Vivian Corazone (17), Asha Djafar (24), Ritticia Nabbosa (27), Elizabeth Wambui (4), Mwanahanis Omary (7).
Gelwa Yonah (21), Esther Mayala (23), Daniela Ngoyi (22), Joelle Bukuru (18), Aisha Juma (10), Koku Kipanga (19), Joanitah Ainembabazi (25), Olaiya Barakat (9), Shelda Boniface (39).