read
news & Articles
Tumepoteza Mchezo wa Fainali
Mchezo wetu wa fainali ya Kombe la Mapinduzi umemalizika na tumepoteza kwa kufungwa bao moja na Mlandege FC katika mtanange uliopigwa Uwanja wa New Amaan
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mlandege
Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Mlandege katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi. Kocha Mkuu,
Kispika chatua Zanzibar kunogesha fainali ya Mapinduzi
Kikundi cha hamasa kutoka jijini Dar es Salaam chini ya King Faida kimewasili Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kunogesha fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayofanyika
Hii hapa safari yetu iliyotufikisha fainali ya Kombe la Mapinduzi
Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Mlandege katika mchezo wa fainali ya michuano ya Mapinduzi. Mpaka kufikia
Timu yafanya mazoezi mwisho kujiandaa na Mlandege Kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa nje wa New Amaan Complex kujiandaa na mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Mapinduzi
Maandalizi ya FainalI Kombe la Mapinduzi yamekamilika
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege yamekamilika. Matola amesema wachezaji wote wapo