read

news & Articles

Tunafungua mwaka na Azam

Heri ya Mwaka mpya wa 2022 wanachama, wapenzi na mashabiki wetu popote mlipo duniani. Leo kikosi chetu kinashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam

Pablo: Tunaenda kukutana na timu bora

Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu kutokana na ubora wa ‘Wanalambalamba’ hao.

Kwa heri Ibrahim Ajibu

Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu baada ya kuangalia faida za pande zote. Ajibu ni mchezaji kijana mwenye

TAARIFA KWA UMMA

Uongozi wa Klabu ya Simba umefikia makubaliano na pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Msaidizi Thierry Hitimana, kuanzia leo Desemba 28, 2021. Simba

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC