read
news & Articles

Bocco asaini miaka miwili kusalia Simba
Nahodha John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia katika timu yetu utakaomuweka hadi mwaka 2023. Mkataba wa Bocco ulikuwa unamalizika mwishoni mwa

Zimbwe amaliza utata, asaini miwili
Baada ya maneno mengi yaliyozua mjadala katika mitandao ya kijamii, hatimaye Nahodha Msaidizi Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amemaliza utata baada ya kusaini mkataba wa miaka

Gomez afurahishwa timu inavyozidi kupaa kwenye msimamo VPL
Kocha Mkuu, Didier Gomez amefurahishwa na hatua ya kuendelea kuweka tofauti kubwa ya alama kwenye msimamo wa Ligi Kuu dhidi ya wanaotufuata ili kujiweka kwenye

Miquissone akabidhiwa tuzo yake ya mwezi Machi
Kiungo mshambuliaji, Luis Miquissone amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa Ligi Kuu wa mwezi Machi. Tuzo hiyo alikakabidhiwa jana Jumanne Aprili 27 kabla ya

Simba mwendo ule ule⦠yailaza na viatu Dodoma
Kikosi chetu kimeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichakaza Dodoma Jiji mabao 3-1 katika mtanange uliopigwa Uwanja wa

Mugalu kuongoza mashambulizi dhidi ya Dodoma leo, Luis, Wawa ndani
Mshambuliaji Chris Mugalu amepewa jukumu la kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku. Moja ya