read
news & Articles

Queen yapoteza kwa Yanga Princess
Timu yetu ya Simba Queens imepoteza kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kulala kwa bao moja mbele ya Yanga Princess katika mchezo wa

Pablo abadili mfumo kikosi dhidi ya Orlando
Kocha Mkuu Pablo Franco, amebadili mfumo wa uchezaji katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates utakaoanza saa moja usiku

Kikosi cha Queens kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga leo
Timu yetu ya Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League)

Tupo tayari kumaliza kazi tuliyoianza Dar
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Orlando nchini Afrika Kusini kuikabili Orlando Pirates katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kuivutia kasi Orlando
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho jioni katika Uwanja wa Orlando kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho

Pablo apania kuifikia rekodi ya mwaka 1993
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi kuwa baada ya kupita miaka 29 tangu kufika nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika sasa muda
