read
news & Articles

Nyota sita waitwa Taifa Stars
Wachezaji sita kutoka katika kikosi chetu wameitwaTimu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itakayoingia kambini kujiandaa kufuzu Michuano ya AFCON mwaka 2023. Taifa Stars itacheza

Queens yawaita mashabiki Uhuru kusherehekea ubingwa
Meneja wa timu ya Simba Queens, Seleman Makanya amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mchezo wa kesho dhidi ya Baobab Queens utakaopigwa Uwanja wa Uhuru

Pablo: Si matokeo tuliyokusudia
Kocha Mkuu Pablo Franco amesema sare dhidi ya Azam FC si matokeo tuliyokusudia kuyapata kwa kuwa tulihitaji kuondoka na alama zote tatu katika Uwanja wa

Derby ya Mzizima haina mbabe
Mchezo wa Derby ya Mzizima uliopigwa Uwanja wa Azam Complex kati yetu na Azam FC umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Rogers Kola aliwapatia

Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Azam leo
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji watano katika kikosi kitakachoshuka dimbani leo kuikabili Azam FC ukilinganisha na kile kilichoanza na Pamba FC siku

Tupo tayari kwa Derby ya Mzizima
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, saa moja usiku kuikabili Azam FC (Derby ya Mzizima) katika