read
news & Articles

Simba yafanya mazoezi kujiandaa na Kaizer Chiefs
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni katika Uwanja wa Discovery Soccer Park hapa jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya

Kauli ya Kocha Gomez baada ya Droo ya ASFC
Licha ya kuifunga Dodoma Jiji katika mechi zote mbili za Ligi Kuu msimu huu Kocha Didier Gomez amesema mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la

Simba yapewa Dodoma Jiji Robo Fainali ASFC
Droo ya hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) imetoka wmbapo kikosi chetu kimepangwa kucheza na Dodoma Jiji. Katika mchezo

Simba yaifuata Kaizer Chiefs na nyota 24
Kikosi chetu kimeondoka nchini leo Jumanne Mei 11 alfajiri, kuelekea nchini Afrika Kusini tayari kwa mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi

Gomez: Tulikuwa tayari kuwavaa Yanga
Kocha Mkuu Didier Gomez amesema kikosi chetu kilikuwa kwenye hali nzuri kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya watani wetu Yanga ambao umeahirishwa

Leo ndiyo leo kwa Mkapa, hatoki mtu
Leo ndiyo siku ambayo Tanzania na nchi jirani zitasimama kwa muda wa dakika 90 kufuatilia mchezo mkubwa wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya watani