read
news & Articles

Pablo afunguka kuhusu Derby ya kesho Kirumba
Kocha Mkuu Pablo Franco ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wetu

Pablo afunguka Hali ya kikosi
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema kikosi kipo katika hali nzuri kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga utakaopigwa

Ahmed: Ni furaha kutwaa taji kwa kuifunga Yanga
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa hatuna nafasi ya kuchukua taji la Ligi Kuu msimu huu ndiyo maana tumeweka nguvu

Kuziona Simba, Yanga Jumamosi ‘buku’ 10
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Nusu Fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup kati yetu na Yanga ambapo cha

Timu yafanya mazoezi ya gym
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya gym asubuhi kwa ajili ya kuweka miili sawa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu wa Nusu Fainali ya

Timu yaanza Maandalizi ya Nusu Fainali ASFC
Kikosi chetu kimeanza mazoezi katika Uwanja wa Nyamagana ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu wa Nusu Fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation