read

news & Articles

Ajibu, Banda, Gadiel kuanza dhidi ya Geita

Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu na winga Peter Banda wamepangwa kuanza katika kikosi kitakachoikabili Geita Gold leo katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja

Tupo kamili kwa Geita Gold

Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Geita Gold kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaoanza saa moja usiku. Tutaingia katika

Matola: Hatutaichukulia poa Geita

Kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya Geita Gold, Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema hatutawadharau wapinzani hao badala yake tutaingia uwanjani kamili kutafuta alama tatu

Tunakutana na JKT Tanzania ASFC

Timu yetu imepangwa kucheza na JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tatu ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC). Katika droo ambayo imefanyika

Viingilio mechi dhidi ya Geita

Uongozi wa klabu umetaja viingilio vya mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold utakaopigwa kesho saa moja usiku katika Uwanja wa

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC