read

news & Articles

Timu kuifuata Kagera leo mchana

Kikosi chetu kitaondoka mchana kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wetu ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo utapigwa

Matola: Haikuwa kazi rahisi kuitoa JKT

Kocha Msaidizi, Seleman Matola, amesema mchezo wa hatua ya tatu ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) ulikuwa mgumu ila tunashukuru tumefanikiwa kushinda na kutinga 32

Wachezaji wote ni muhimu Simba

Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, ameweka wazi kuwa kila mchezaji ana umuhimu sawa ndani ya kikosi na lengo lake ni kuhakikisha timu inapata ushindi kila

Tumetinga 32 Bora ASFC

Ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umetufanya kuingia hatua ya 32 bora ya Michuano ya

Sakho kuongoza mashambulizi dhidi ya JKT

Baada ya kupona majeraha na kuwa fiti kiungo, mshambuliaji Pape Ousmane Sakho amepangwa kuongoza mashambulizi dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa hatua ya tatu

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC