read
news & Articles

Simba yapaa kuelekea Morocco kwa ‘Pre Season’
Kikosi chetu kimeondoka nchini mchana huu kuelekea Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2021/22 (Pre Season) kikiwa na wachezaji 24. Kambi

Benchi la ufundi, wachezaji wapata chanjo ya corona
Benchi letu la ufundi na wachezaji wote wamepata chanjo ya ugonjwa wa corona kabla ya kuanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2021/22. Chanjo

Simba kuanza maandalizi ya msimu mpya leo
Kikosi chetu leo kitaanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2021/22 huku malengo yakiwa ni kutetea ubingwa huo wa ligi, Azam Sports Federation Cup

Mhilu atua Simba
Kiungo mshambuliaji, Yusufu Mhilu, amejiunga na kikosi chetu kutoka Kagera Sugar kwa mkataba wa miaka mitatu. Mhilu amekuwa kwenye kiwango bora tangu alipojiunga na Kagera

Rasmi Peter Banda asaini Simba
Kiungo Peter Banda raia wa Malawi amejiunga na kikosi chetu kutoka Timu ya Big Bullet, kwa mkataba wa miaka mitatu. Banda ambaye anaweza kucheza nafasi

Simba, Yanga kukipiga Ngao ya Jamii Septemba 25
Mchezo wa Ngao ya Jamii ya kufungua msimu mpya wa ligi 2021/22 kati yetu na Yanga utapigwa Septemba 25 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini