Zuchu apagawisha, ashuka na kamba angani

 

Msanii wa Bongo Fleva Zuhura Soud ‘Zuchu’ amewapagawisha mashabiki na Wanasimba waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa katika Tamasha letu la Simba Day lililofanyika leo Agosti 8, 2022.

Akiingia uwanjani hapo, Zuchu alishuka kwa kamba maalumu kutoka juu ya uwanja na kuamsha shangwe uwanja mzima wakimshangilia nyota huyo wa Bongo flava.

Kwa muda wote Zuchu aliotumbuiza uwanja haukutulia kwani mashabiki

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER