read
news & Articles
Timu yafanya mazoezi usiku kujiandaa na USGN
Kikosi chetu kimefanya mazoezi usiku huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kujiandaa na mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika
Pablo: Nguvu ya mashabiki uwanjani ni kubwa
Kocha Mkuu Pablo Franco ameweka wazi kuwa mashabiki wana mchango mkubwa kwa timu hasa katika michuano ya klabu Afrika. Pablo amesema mashabiki wetu wanachangia kwa
Safari ya treni kwa ajili ya hamasa yafana
Safari ya treni kutoka Pugu hadi Kamata jijni Dar es Salaam katika zoezi la kuhamasisha mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mchezo wetu wa Jumapili wa
Usalama siku ya mchezo ni asilimia 100
Uongozi wa klabu umewatoa hofu mashabiki ambao wamepanga kujitokeza katika mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gandarmerie ambapo utapigwa saa nne
Mechi dhidi ya USGN kupigwa saa nne usiku
Mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gandarmerie utapigwa saa nne usiku badala ya saa moja
Tumezindua kampeni ya hamasa kuelekea mechi USGN
Katika kuonyesha tumedhamiria kushinda na kutinga Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika leo tumezindua kampeni ya hamasa kwa mashabiki ili kujitokeza kwa