read
news & Articles

Oppah, Mawete wafunguka baada ya kupiga ‘hat trick’
Washambuliaji wetu wa Timu ya Wanawake Simba Queens, Oppah Clement na Mawete Musolo wameweka wazi kuwa furaha yao ni kuhakikisha timu inapata ushindi vitu vingine

Simba Queens yatinga nusu fainali kibabe, yaichakaza FAD FC 10-0
Kikosi chetu cha Timu ya Wanawake ya Simba Queens, kimefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya Cecafa Samia Women Cup baada ya kuichakaza bila huruma

Uzi mpya wa Simba tayari mtaani
Jezi zetu za Msimu Mpya wa Ligi 2021/22 tayari zimetoka na zipo mtaani zinauzwa katika maduka yote ya Vunjabei nchi nzima kuanzia leo. Uzinduzi rasmi

Oppa kuiongoza Simba Queens mbele ya FAD FC
Mshambuliaji kinara wa timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, Oppa Clement ataongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa leo wa kukamilisha hatua ya makundi dhidi

Simba Queens yafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa FAD
Kikosi cha timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens mchana huu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Gymkhana kujiandaa na mchezo wa tatu wa

Kauli ya Nahodha Simba Queens kuelekea mchezo wa kesho
Nahodha wa timu yetu ya Wanawake Simba Queens, Violeth Nicholaus amesema mchezo wa kesho dhidi ya FAD FC utakuwa mgumu kutokana na uhitaji wa alama