Saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili TRA kutoka Kilimanjaro katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Azam Sports Federation Cup.
Hiki hapa kikosi kamili ambacho kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amekianzisha:
Aishi Manula (28), David Kameta (3) Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Hussein Kazi (16), Sadio Kanoute (8), Abdallah Khamis (13), Mzamiru Yassin (19), Freddy Michael (18), Ladaki Chasambi (36), Kibu Denis (38).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), Che Malone (20), Shomari Kapombe (12), Edwin Balua (37), Babacar Sarr (33), Saleh Karabaka (23), Luis Miqussone (11), Pa Omar Jobe (2).