Timu yatua salama Dar es Salaam

Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam kutoka nchini Ivory Coast baada ya mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas uliopigwa usiku wa Ijumaa.

Baada ya kufika timu itaanza maandalizi ya mchezo wa hatua ya 32 bora ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya TRA utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex, Februari saa moja usiku.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER