
Pablo: Tumepata mazoezi mazuri kabla ya kucheza na Mtibwa
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema timu imepata mazoezi mazuri kabla ya mchezo wetu wa Jumamosi wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema timu imepata mazoezi mazuri kabla ya mchezo wetu wa Jumamosi wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar
Kikosi chetu kitaondoka leo mchana kuelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Jumamosi Uwanja
Kikosi chetu kimepoteza mechi ya kwanza katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC kwa bao moja dhidi ya Mbeya City uliopigwa katika uwanja
Kocha Mkuu Pablo Franco amesema Mlandege walicheza kitimu hasa katika kuzuia ingawa pia walitumia zaidi nguvu kwa wachezaji wetu. Pablo amesema michuano ya Mapinduzi
Pamoja na kujihakikishia kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Mapinduzi, Kocha Pablo Franco amesema tunahitaji kushinda kila mchezo. Kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefunguka kuwa lengo ni kuhakikisha tunashinda kila mchezo uliopo mbele yetu katika Michuano ya Mapinduzi ili kuibuka mabingwa. Pablo amesema
Leo tumezindua rasmi jezi mpya ambazo tutazitumia katika Michuano ya Mapinduzi na Azam Sports Federation Cup (ASFC). Kama kawaida jezi za nyumbani zitakuwa rangi
Mtangazaji kijana, mchapakazi na mdau wa michezo nchini Ahmed Ally ndiye Ofisa Habari na Mawasiliano mpya wa timu yetu. Ahmed kabla ya kujiunga nasi
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliofanyika Uwanja wa Benjamin
Medie Kagere na Kibu Denis wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa