Ahmed Ally Ofisa Habari wetu mpya

Mtangazaji kijana, mchapakazi na mdau wa michezo nchini Ahmed Ally ndiye Ofisa Habari na Mawasiliano mpya wa timu yetu.

Ahmed kabla ya kujiunga nasi ametokea Azam Media akiwa mtangazaji mahiri wa habari za michezo ambapo kabla ya hapo amewahi kufanya kazi kwa muda mrefu Sahara Media katika vituo vya Radio Free na Star TV.

 

 

Ahmed anakuja kuungana na vijana wenzake wachapakazi waliopo katika Idara ya Habari na Mawasiliano ambao wameifanya timu yetu kutamba katika majukwaa yote ya mitandao ya kijamii.

Uongozi wa klabu una imani na uwezo wa Ahmed na ndiyo maana umempitisha baada ya mchakato wa muda mrefu.

 

 

Official Twitter Account:

Official Facebook Page:

 

Official Instagram Account

 

 
 
 
 
 
View this post on Instagram
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

A post shared by Ahmed Ally (@ahmedally_)

SHARE :
Facebook
Twitter

One Response

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER