read
news & Articles
Tumepata tuzo ya mashabiki bora AFL
Mashindano ya African Football League (AFL) yamemalizika leo huku Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ikitawazwa mabingwa kwa kuifunga Wydad Casablanca ya Morocco mabao 2-0. Michuano
Tumepata sare dhidi ya Namungo
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa Uhuru umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Tulianza mchezo kwa
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Namungo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kaimu
Tupo Uhuru leo kuikaribisha Namungo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mara zote tunapokutana na
Matola asisitiza mshikamano Simba
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amewaomba Wanasimba kurejesha ushirikiano na kuendelea kuipa sapoti timu baada ya matokeo mabaya tuliyopata kwenye mchezo wetu uliopita. Matola amesema hakuna
Matola aanza Kazi ashiriki mazoezi ya jioni
Kocha, Selemani Matola leo ameanza mazoezi kazi na ameshiriki katika mazoezi ya jioni wakati kikosi kikijiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC