Tumepata sare dhidi ya Namungo

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa Uhuru umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja.

Tulianza mchezo kwa kasi huku tukiliandama lango la Namungo lakini hata hivyo mashambulizi yetu yaliishia kwenye mikono ya mlinda mlango, Jonathan Nahimana.

Relient Lusajo aliipatia Namungo bao la kwanza dakika ya 28 baada ya kumalizia pasi ya Jacob Masawe.

Jean Baleke alitupatia bao la kusawazisha dakika ya 75 baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Moses Phiri.

X1: Ayoub, Kapombe, Zimbwe Jr, Che Malone (Kennedy 80′), Henock, Ngoma (Miquissone 68′), Chama (Bocco 72′), Mzamiru, Baleke, Ntibazonkiza (Chilunda 58′), Onana (Phiri 45′)

Walioonyeshwa kadi:

X1: Nahimana, Kibailo, Asante, Mukombozi, Nyoni, Domayo (Kichuya 65′), Nyenye, Manyanya, Lusajo (Sabato 65′), Buswita (Blandja 73′), Masawe (Majimengi

Walioonyeshwa kadi:

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER