Matola ataja siri ya ushindi mwembamba

Kocha Msaidizi, Suleiman Matola amesema Mwadui walicheza kwa nidhamu kubwa dhidi yetu hatua iliyosababisha kupata ushindi mwembamba wa bao moja. Amesema Mwadui walifahamu ubora wetu hivyo walicheza kwa nidhamu walikaba wote na kufanya mashambulizi ya kushtukiza hivyo kuubana uwanja.…