read
news & Articles

Tupo Azam Complex Leo kuikabili Geita
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia kwenye

VIDEO: Ahmed akiri mchezo dhidi ya Geita utakuwa mgumu
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold utakuwa mgumu kutokana ya nafasi na malengo ya kila

Kauli ya Mgunda kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Geita
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex

Highlights: Dodoma Jiji 0-1 Simba
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja.

Tumezipata pointi zote tatu Jamhuri Dodoma
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Dodoma Jiji
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa kikosi kamili