Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:
Hussein Abel (30), Shomari Kapombe (15), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Edwin Balua (37), Mzamiru Yassin (19), Freddy (18), Sadio Kanoute (8), Ladaki Chasambi (36).
Wachezaji wa Akiba:
Ahmed Feruz (31), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Babacar Sarr (33), Willy Onana (7), Abdallah Khamis (13), Saleh Karabaka (23),Saido Ntibazonkiza (10), Pa Omar Jobe (2)