Highlights: Dodoma Jiji 0-1 Simba

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja.

Tazama jinsi bao lilivyofungwa na mchezo mzima ulivyokuwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER