VIDEO: Ahmed akiri mchezo dhidi ya Geita utakuwa mgumu

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold utakuwa mgumu kutokana ya nafasi na malengo ya kila timu.

Ahmed amesema malengo yetu ni kupata pointi tatu ili kuendelea kujiweka kwenye nzuri ya kumaliza nafasi ya pili wakati Geita wakitaka kujinasua kutoka chini na hilo ndilo linafanya mchezo kuwa mgumu.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kurejea kwa nyota wetu wawili Clatous Chama na Luis Miqussone.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER