read
news & Articles

Simba Queens kuanza maandalizi ya msimu kesho
Kikosi cha Simba Queens kinatarajia kuanza maandalizi kesho Alhamisi ya michuano ya klabu Bingwa kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati CECAFA. Akizungumza na Simba

VIDEO: Timu yaondoka kuelekea Misri
Kundi la kwanza la kikosi chetu limeondoka jioni kuelekea Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2024/25.

Ayoub Lakred yupo sana Simba
Mlinda mlango Ayoub Lakred amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia katika timu yetu. Lakred raia wa Morocco tumemsajili msimu uliopita kutoka FAR

Yusuph Kagoma ni Mnyama
Kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma ni mchezaji wetu mpya baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kukitumikia kikosi chetu kutoka Singida Fountain Gate. Kagoma ni

Karaboue Chamou ni Mnyama
Tumefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kati Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.

Valentin Nouma ni Mnyama
Mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso amejiunga nasi kutoka klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu.
