read
news & Articles

VIDEO: Mashabiki waanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa
Mageti ya Uwanja wa Benjamin Mkapa yamefunguliwa na tayari mashabiki wetu wameanza kuingia kwa ajili ya kushuhudia Tamasha la Simba Day. Tazama video hii hadi

Kauli ya Kocha Fadlu Kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya APR
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya APR wa kilele cha Simba Day utakuwa mzuri ambao utatupa picha kuelekea msimu ujao wa

Zimbwe Jr: Tumepata kambi bora Misri
Nahodha wa timu, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema kambi ya Misri ilikuwa bora na wamepata maandalizi mazuri. Zimbwe Jr ameyasema hayo muda mfupi baada ya

Tumetoa vifaa vya Michezo kwa wenye uhitaji Buguruni
Menejimeti ya Klabu kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation tumetembelea Shule ya Msingi Buguruni Viziwi na kutoa msaada wa vifaa vya Michezo. Meneja Habari na

Tumeibuka na ushindi dhidi ya Al-Adalah
Mchezo wetu wa mwisho wa kirafiki dhidi ya Al-Adalah inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza nchini Saudi Arabia uliopigwa Uwanja wa New Suez Canal umemalizika kwa

Ahmed awaongoza Wanasimba zoezi la uchangiaji damu
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amewaongoza Wanasimba kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya Wiki ya Simba kuelekea kilele cha Simba Day. Kila
