Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida FG Leo

Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Ayoub Lakred (40), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Mzamiru Yassin (19), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Fred Michael (18), Said Ntibazonkiza (10), Clatous (17).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), David Kameta (3), Kennedy Juma (26), Abdallah Hamis (13),Willy Onana (7), Ladaki Chasambi (36), Luis Miqussone (11), Pa Omar Jobe (2).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER