read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa Kombe

Timu kuondoka Jumatano kuelekea Libya
Kikosi chetu kitaondoka Jumatano Alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Septemba 15.

TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa klabu ya Simba unautaarifu Umma kuwa Kocha Juma Ramadhani Mgunda hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi la Simba Queens baada ya mkataba wake

Tumepata ushindi dhidi ya JKT Tanzania
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimazoezi uliopigwa katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo

Mchezo dhidi ya Azam kupigwa Septemba 26
Mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ambao ulikuwa haukupangiwa tarehe sasa utapigwa Septemba 26. Baada ya ratiba hiyo sasa ni rasmi

Fadlu, Ahoua wang’ara tuzo ya NBC mwezi Agosti
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi wa Agosti. Fadlu amewapiku, Patrick Aussems wa Singida Black Stars na
