Wanachama wamekutana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu wa mwaka kwa mujibu wa Katiba ili kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo.
Fuatilia Mubashara kupitia App hii kushuhudia kila kitu kitakachokuwa kinaendelea.
https://www.youtube.com/live/xgiHJBlwklw?si=QXQIf5GtrxaN0S07