Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Fountain Gate Princess

Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Fountain Gate Princess katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).

Huu ni mchezo wa pili wa Ligi Kuu baada ya ule wa kwanza dhidi ya Mlandizi Queens ambao tuliibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Esther Mayala (23), Violeth Nicholaus (26), Vivian Corazone (17), Elizabeth Wambui (4), Ritticia Nabbosa (27), Asha Djafari (24), Precious Christopher (8), Dotto Evarist (2),

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yonah (21), Ruth Ingosi (20), Emeliana Mdimu (15), Josephine Julius (6),Mwanahamisi Omari (7), Jackline Albert (16), Shelda Boniface (9), Jentrix Shikangwa (25). Asha Rashida (14).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER