Droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyofanyika Cairo nchini Misri imekamilika na tumepangwa kundi A.
Sisi ni miongoni mwa timu nne zilizokuwa katika poti A kutokana na idadi ya pointi ilizonazo kwa mujibu wa viwango vya CAF.
Tumepangwa kundi A pamoja na timu za CS SFaxien, CS Constantine, na FC Bravos.
Hili kundi letu lilivyo
1. Simba (Tanzania)
2. CS SFaxien (Tunisia)
3. CS Constantine (Algeria)
4. FC Bravos (Angola)