read
news & Articles

Simba kuitumia Gwambina kama ngazi ya kurejea kileleni
Timu yetu leo itashuka dimbani kuikabili Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwenye Uwanja wa Gwambina uliopo Misungwi na endapo tutashinda

Manula afunguka siri ya kiwango chake kwa sasa
Mlinda mlango namba moja, Aishi Manula ametaja siri ya kiwango chake kwa sasa ni kutokana na ushirikiano mkubwa anaoupata kutoka kwenye safu ya ulinzi. Manula

Alichosema Kocha Gomez baada ya ushindi dhidi ya Kagera
Kocha Mkuu, Didier Gomez amefurahishwa na ushindi wa mabao 2-0 tulioupata dhidi ya Kagera Sugar huku akiwamwagia sifa wachezaji kwa kuonyesha kiwango kizuri. Gomez amesema

Simba yailamba sukari ya Kagera Kaitaba
Timu ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliopigwa katika Uwanja wa

Mugalu kuongoza mashambulizi, Lwanga, Miquissone ndani
Mshambuliaji Chris Mugalu amepewa dhamana ya kuongoza mashambulizi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa leo saa 10 jioni katika

Simba kusaka pointi tatu nyingine za Kanda ya Ziwa leo
Kikosi chetu leo kitaendelea kampeni ya kusaka pointi tatu kwenye mechi zetu za Kanda ya Ziwa ambapo leo tutashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera