Mugalu kuongoza mashambulizi, Lwanga, Miquissone ndani

Mshambuliaji Chris Mugalu amepewa dhamana ya kuongoza mashambulizi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa leo saa 10 jioni katika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.

Mugalu hajaonekana uwanjani katika mechi mbili za ligi zilizopita lakini leo kocha Didier Gomez amempa dhamana ya kuhakikisha anaongoza idara ya ushambuliaji.

Kiungo mkabaji Taddeo Lwanga nae amerejea kikosini baada ya kukosekana katika mechi iliyopita huku Hassan Dilunga pia akianza.

Luis Miquissone ambaye ni mchezaji bora wa ligi wa mwezi Machi, alipumzishwa kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mwadui FC  naye ameanza pamoja na pacha wake Clatous Chama wakiwa na kazi ya kumlisha Mugalu.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

1. Aishi Manula

2. Shomari Kapombe

3. Mohammed Hussein ©

4. Joash Onyango

5. Pascal Wawa

6. Taddeo Lwanga

7. Hassan Dilunga

8. Mzamiru Yassin

9.Chris Mugalu

10. Clatous Chama

11. Luis Miquissone

Wachezaji wa Akiba

GK. Beno Kakolanya

02. Erasto Nyoni

03. Ibrahim Ame

04. Rally Bwalya

05. Medie Kagere

06. John Bocco

07. Ibrahim Ajib

SHARE :
Facebook
Twitter

2 Responses

  1. Congratulations to Simba Team. We need Success to all our games. And we pray to OUR GOD for this success. Aamin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER