read
news & Articles

Chama mchezaji bora mwezi Aprili
Kiungo mshambuliaji, Clatous Chama amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi wa Aprili (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). Chama raia wa Zambia

Kauli ya Kocha Gomez baada ya ushindi dhidi ya Kagera Sugar
Baada ya kufanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup kwa kuifunga Kagera Sugar mabao 2-1, Kocha Mkuu Didier Gomez amesema malengo

Simba yatinga robo fainali ASFC
Kikosi chetu kimeingia robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya kuifunga Kagera Sugar mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa

Hiki hapa kikosi cha Gomez dhidi ya Kagera
Kocha Mkuu, Didier Gomez na wasaidizi wake wamepanga kikosi kamili kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam hatua ya 16 bora dhidi ya Kagera

Simba yapewa Kaizer Chiefs Mabingwa Afrika
Droo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali imetoka leo ambapo tumepangwa na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Mchezo wa mkondo wa

Kapombe bado yupo sana
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu utakaoendelea kumuweka klabuni hadi mwaka 2024. Kapombe ni miongoni mwa wachezaji ambao tangu waliposajiliwa