Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu utakaoendelea kumuweka klabuni hadi mwaka 2024.
Kapombe ni miongoni mwa wachezaji ambao tangu waliposajiliwa mwaka 2017 wamefanikisha kutwaa ubingwa wa ligi mara tatu mfululizo huku tukielekea kuchukua kwa mara ya nne.
Uongozi wa klabu chini ya Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez unaendelea na harakati za kuwaongeza mikataba nyota ambao kandarasi zao zinaelekea ukingoni na bado wanahitajika kwenye timu.
Juzi, Nahodha wa timu, John Bocco aliongeza mkataba na msaizidi wake Mohammed Hussein ‘Zimbwe Junior.’
9 Responses
Habari ndugu viongozi wangu wa Simba Sport Club.
Napenda kuwashukuru wana kwa kiwaongezea mikataba wachejzaji wetu mhimu sana katika Team Shomari Kapombe, Mohammed Hussein na Captain John Bocco. Mmefanya jambo la mbolea sana kwa maendeleo ya Club yetu, so nawaomba sana msikubali mchezaji mhimu pengine naweza kusema kuliko wote japo sio kweli kuwa ni mhimu kuliko wote ambae ni Aishi Salum Manula huyu ni mchezaji amabae hatakiwi kutoka kati ya wachezaji wazawa na wa mhimu kwenye kikosi tena ikiwezekana msimpe mkataba wa mda mfupi mpeni mkataba wa miaka kuanzia mitatu na kuendele.
Sawa viongozi wangu nawaaminia sana fanyeni kweli kwa maendeleo ya Club yetu
Wonderful , Mkataba wa miaka mitatu unaafya sanaaa kwa club yetu…let’s go for Nyoni, Mkude, Kagere nk
Mashabiki tunataka kushiliki katika awamu ya pili ya uwanja
Tunaitaji m2u anayeweza kulianglia ilii swala kwa kuorganise mashabiki wengne na kutoa muongoza na utalatibu lengo ni kuakikisha simba inakua na uwanja wake mkubwa kbxa. Lifikilieni iloo swara
Huu ni mwakq wa sinba kuwa bingwa wa mabingwa africa
Hatari sna
Htari sana
Simba nguvu moja
Simba nguvu moja
Nice signing
#nguvumoja
We’re Simba