read
news & Articles

Unaijua sababu ya Bwalya kushangilia kwa kuonyesha saa?
Kiungo mshambuliaji, Rally Bwalya amesema alishangilia kwa staili ya ishara ya kuonyesha saa ya mkononi akimaanisha imefika hatua ya kupata mafanikio kuanzia kwenye Ligi za

Kocha Gomez afunguka sababu ya kutoa ‘dozi kubwa’ kwa Mtibwa
Kocha Mkuu, Didier Gomez ameweka wazi sababu ya ushindi wa mabao 5-0 tuliopata dhidi ya Mtibwa Sugar kuwa ni kucheza kwa nidhamu na kujituma. Licha

Simba yarejea kwa kishindo VPL, yaipiga Mtibwa ‘mkono’
Kikosi chetu kimeonyesha dhamira ya kutaka Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichakaza bila huruma Mtibwa Sugar mabao 5-0. Katika mchezo huo uliopigwa

Gomez aishushia Mtibwa ‘kikosi cha mauaji’
Kocha Mkuu, Didier Gomez amepanga kikosi ambacho huwa kinaanza kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, katika mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo

Simba, Mtibwa ni mechi ya kumaliza ubishi
Baada ya kumaliza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, leo tunarejea kwenye Ligi Kuu ya Vodacom ambapo tutashuka dimbani kuikabili Mtibwa Sugar katika

Simba kamili kuivaa Mtibwa
Kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kocha Msaidizi Selemani Matola amesema kikosi kipo kamili hakuna mchezaji atakayekosekana kutokana na kuwa
