Kocha Mkuu, Didier Gomez amepanga kikosi ambacho huwa kinaanza kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, katika mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar.
Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, saa 10 jioni.
Mshambuliaji Medie Kagere ataongoza mashambulizi akisaidiwa na Clatous Chama na Luis Miquissone huku Erasto Nyoni akianza kwenye kiungo cha ulinzi sambamba na Taddeo Lwanga.
Kikosi Kamili kilichopangwa dhidi ya Mtibwa Sugar
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein ©
4. Joash nyango
5. Pascal Wawa
6. Taddeo Lwanga
7. Clatous Chama
8. Erasto Nyoni
9. Medie Kagere
10. Rally Bwalya
11. Luis Miquissone
Wachezaji wa Akiba
GK. Beno Kakolanya
02. Kennedy Juma
03. Jonas Mkude
04. Hassan Dilunga
05. Chris Mugalu
06. John Bocco
07. Parfect Chikwende
One Response
Asante kwa kikosi kizuri Sana hicho hapo mtu anakula 3_0 anaenda kulala na mwadui ajipange.