read
news & Articles

Simba yailamba sukari ya Kagera Kaitaba
Timu ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliopigwa katika Uwanja wa

Mugalu kuongoza mashambulizi, Lwanga, Miquissone ndani
Mshambuliaji Chris Mugalu amepewa dhamana ya kuongoza mashambulizi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa leo saa 10 jioni katika

Simba kusaka pointi tatu nyingine za Kanda ya Ziwa leo
Kikosi chetu leo kitaendelea kampeni ya kusaka pointi tatu kwenye mechi zetu za Kanda ya Ziwa ambapo leo tutashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera

Simba yasaini mkataba wa bilioni mbili na Vunjabei
Klabu ya Simba imeisaini mkataba wa miaka miwili na kampuni ya Vunjabeigroup wa kutengeneza na kusambaza jezi za timu ya wakubwa, wanawake na vijana wenye

Simba yarejea Mwanza kuisubiri Kagera Sugar
Kikosi chetu leo kimerejea jijini Mwanza ambapo moja kwa moja kimeanza maandalizi ya mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Jumatano katika

Matola ataja siri ya ushindi mwembamba
Kocha Msaidizi, Suleiman Matola amesema Mwadui walicheza kwa nidhamu kubwa dhidi yetu hatua iliyosababisha kupata ushindi mwembamba wa bao moja. Amesema Mwadui walifahamu ubora wetu
